Pages

Friday, March 15, 2013

AMANDA ARUDI KWA KISHINDO, TO PRODUCE HER OWN FILMS SOON.

Actress machachari Swahiliwood Amanda Poshy Amesema kuwa anacheza nafasi za uhusika ukuu(Heroine) na siyo suporting roles pekee kama baadhi ya watu wanavyofikiri. Amanda aliyasema hayo wakati alipoulizwa na na Swahiliworldplanet kuwa ni kwanini baadhi ya films amekuwa akiwa kama second or third lead na siyo heroine na je ana mikakati gani katika film industry?. Amanda mmoja wa waigizaji wenye mvuto in the Tanzanian film industry pia alisema  alikuwa nje ya game but amerudi and her fans wamempokea vizuri. The actress is also planning to produce her own films soon. Amanda ambaye kwa sasa anatamba sokoni na filamu ya Nyumba Nne which also stars King Majuto said

 "kwanza ikumbukwe nilikaa nje ya game kwa muda mrf n siyo kweli nacheza movie zote kama muhusika msaidizi.....Mfano kwenye movie ya The Suspect nimecheza kama muhusika mkuu.........Kwenye movie inaitwa Nyumba Nne ambayo ni mpya na ipo madukani nimecheza kama muhusika mkuu....n Kuna mpya inakaribia kutoka Inaitwa Fikiri kabla ya kutenda Ambayo imebeba mastar wengi kama Aunt Ezekiel....Baba Haji....Hashimu Kambi.....Dotnata....Pendo yule dada mcheza ngumi na me mwenyewe Amanda....nayo nimecheza kama Muhusika mkuu"

Kuhusu mipango yake kwenye industry the sexy actress added " .mipango ipo mingi sana kwangu ila kubwa nilitaka mashabiki wng wajue kuwa nimerudi na nashukuru Mungu napokea maoni mengi ya mashabiki yanayonijulisha kuwa nw wamenipokea hasa kwenye Movie ya Nyumba nne.....nakaribia kufanya kazi zangu mwenyewe muda c mrefu na nitawataharifu mashabiki"
Hayo ndiyo aliyosema Amanda and kama hujaiona filamu yake mpya ya "Nyumba Nne' opposite King Majuto go and buy your original copy now ili uone nini actress huyo amefanya akiwa na King of comedy( Majuto).



No comments:

Post a Comment