Monday, February 4, 2013

TIMBULO AMFUNIKA ROSE NDAUKA KWA MAKE-UP !

Utengenezaji wa filamu mpya ya kiswahili "WORLD OF BENEFITS" unaendelea filamu hiyo ikiwa na wasanii kama Rose Ndauka na Timbulo ambaye ameingia katika tasnia ya filamu rasmi.Tumebahatika kupata
  baadhi ya still pictures za filamu hiyo wasanii wakiwa katika mishemishe za shooting but Timbulo anaonekana kung'aa kutokana na make up kiasi cha kutaka kumpoteza Rose Ndauka kwa mauzo! au kwasababu post production bado...! Anything to say?
photos:dartalk

No comments:

Post a Comment