Saturday, January 19, 2013
RAYUU AAMUA KULA SAHANI MOJA NA SINTA
muigizaji wa swahiliwood maarufu kama Rayuu ameandika katika ukurasa wake wa facebook maneno yanayoonekana kurudisha mapigo kwa mwigizaji mwenzake Sinta ambaye wiki kadhaa huko nyuma alimchana Rayuu kuwa amesambaza picha zake za utupu ili kujitafutia umaarufu na kumponda kwa sana. Rayuu pia anadai Sinta kumfatafata kwa maneno kila kukicha hivyo ameamua kumpa mazito mazito kupitia facebook. jionee...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment