Saturday, January 19, 2013

PICHA HATARI ZA MUIGIZAJI MAARUFU OGE OKOYE ZAZUA MINONG'ONO

ushindani kwa waigizaji wa Nollywood bado upo juu sana. Muigizaji maarufu na mwenye kipaji cha hali ya juu Oge okoye amekuja na photoshoot ya picha mbalimbali ambazo ukiziangalia tu zinafikisha ujumbe mbalimbali kama vile mtu mwenye mateso mengi, msichana mtukutu na hatari sana na themes nyingine nyingi.picha hizo zimepigwa na professional photographer Moussa Moussa kwa siku tatu mfululizo katika location mbalimbali.hembu mpige jicho muigizaji huyu matata ambaye ni mama wa watoto wawili lakini bado mapozi hayamkauki......hizi picha zimepigwa kiustadi sana na mhusika pia alijua kutoa ujumbe wa alichokikusudia ingawa ameacha sehemu ya juu wazi kidogo mashabiki wameanza minong'ono siwajua hawakawii hasa kwa tamaduni za kiafrika ingawa hazina tatizo.

No comments:

Post a Comment