Pages

Wednesday, December 3, 2014

Zari The Boss Lady Adaiwa Kumbemenda Diamond Platnumz !

Ulimwengu wa mastaa ni sheedah tupu !....gossip mpya ni kuwa Diamond anabemendwa na Zari The Boss Lady !.
Inadaiwa kuwa Zari amempita Diamond miaka 9 yaani Zari ana miaka 34 huku Diamond akiwa na miaka 25 ingawa habari nyingine zinadai Zari ana miaka 32.

Kikizungumza na Swahiliworldplanet chanzo kimoja ambacho kipo karibu na Wema na kilichoonekana kumkubali Wema na Diamond na sio Zari na Diamond kilisema...

"Diamond anabemendwa tu na Zari but atarudi kwa Wema muda si mwingi, Wema ndo size yake na couple ya ukweli, Zari ni mkubwa ila haonyeshi ana miaka 34 na Diamond 25" 

Ingawa Zari na Diamond walishakanusha kuwa si wapenzi wapo kwenye project tu lakini umri si tatizo katiba mahaba kama wahusika wenyewe wanapendana.

No comments:

Post a Comment