Pages

Saturday, December 6, 2014

Sabby Angel, Tino, Dude Na King Majuto Wafanya Kufuru Na Filamu Ya Sio Riziki.

Star wa filamu Tanzania Sabby Angel anatarajiwa kulitikisa soko na filamu yake mpya ya Sio Riziki baada ya mwaka huu filamu yake ya Siri Ya Giningi kuwa moja ya filamu zilizouza sana.


Sio Riziki ambayo itatoka mwezi huu wa December yupo pia King Majuto, Tino na Dude Kulwa Kikumba. Kaa mkao wa kula kununua nakala yako halisi.


No comments:

Post a Comment