Actress Sabby Angel amewaasa wasichana kuwa makini katika mahusiano ya kimapenzi na sio kukubali kuchezewa na wanaume na kuishia kupotezewa muda. Sabby ambaye filamu yake mpya ya Sio Riziki itaingia sokoni hivi karibuni amewaasa wanawake wenzake pia wafanye kazi kwa bidii ili kuheshimika na kuwa huru kuliko kutegemea wanaume. Sabby ameandika........
No comments:
Post a Comment