Pages

Tuesday, December 16, 2014

Photos: Timoth Conrad Apokewa Kwa Shangwe Akitokea Nchini Marekani.

Producer wa filamu nchini ambaye pia ni editor wa filamu na muongozaji Timoth Conrad Kachumia leo amewasili Tanzania akitokea nchini Marekani amabako filamu yake ya Dogo Masai ilishinda tuzo ya Silicon Valley African Film Festival best african feature film.
Wasanii kadhaa walijitokeza Julius International Arport kumpokea Tico. Angalia picha
Baada ya hapo Tico alielekea katika ukumbi wa BASATA kwa ajli ya kuzungumza na waandishi na viongozi wa BASATA.

No comments:

Post a Comment