Pages

Thursday, December 11, 2014

Nitawekeza Katika Katika Filamu Za Tanzania Sehemu Ya Pesa Nilizoshinda BBA: Idris Sultan

Mshindi wa Big Brother Africa HotShot 2014 toka Tanzania Idris Sultan amesema kuwa sehemu ya pesa zake alizoshinda atawekeza katika tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa kuwa anapenda kuwekeza katika sanaa hiyo inayokuwa nchini.

No comments:

Post a Comment