Pages

Sunday, November 2, 2014

Wema Sepetu Kuja Kivingine Katika In My Shoes Season 2 Wiki Ijayo, Diamond Ndani.

Season 2 ya Reality TV show ya "In My Shoes" Ya Wema Sepetu inatarajiwa kuwa tofauti kwa mujbu wa Wema Sepetu mwenyewe huku mpenzi wake Diamond Platnumz akitarajiwa kuonekana tofauti na msimu wa kwanza.
Kipindi hicho kinatarajiwa kuanza Ijumma hii ya tarehe 7 November katika East Africa Television.


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment