Pages

Sunday, November 23, 2014

Tanzania Film Awards Kuzinduliwa Leo New Afrika Hotel Na Waziri Mkuu Mizengo Pinda.

Tuzo kubwa za filamu nchini zijulikanazo kama Tanzania Film Awards(TAFA) zitazinduliwa rasmi leo hii Jumapili huku mgeni rasmi akiwa waziri mkuu Mizengo Pinda.
Tuzo hizo zitazinduliwa katika hotel ya New Africa Hotel, Dar es salaam.

Tayari wasanii wameanza kutuma kazi zao ili kushindania tuzo hizo zinazotarajiwa kufanyika mapema mwakani.

No comments:

Post a Comment