Pages

Monday, November 24, 2014

Stanley Msungu Anusurika Katika Ajali Ya Gari.

Star wa filamu za Uaminifu Dhaifu na Wema Uko Wapi, Stanley Msungu amenusurika katika ajali maeneo ya Bondeni, Dar es salaam baada ya gari lake aina ya Toyota Vs kutumbukia mtaroni.

Akizungumza na Globalpublishers Msungu ambaye ni mmoja wa waigizaji waliocheza filamu nyingi sana nchini alisema "Yaani ni Mungu tu kwani ungekuta sasa hivi watu wanazungumza mengine japokuwa ninasikia maumivu makali sana ya kifua na shingo pia gari limeharibika vibaya"

No comments:

Post a Comment