Pages

Saturday, November 8, 2014

Rais Wa Shirikisho La Filamu Nchini Simon Mwakifwamba Anusurika Katika Ajali Huko Morogoro.

"Rais wa Shirikisho La Filamu Tanzania (TAFF), Mwakifwamba Simon, amepata ajali ya gari karibu na Mkundi, nje kidogo ya mji wa Morogoro karibu na mizani, usiku huu wakati akitoka Dodoma kuja Dar es Salaam. Gari aliyokuwa akiiendesha aina ya Toyota Noah T 176 CYM mali ya TAFF imepinduka na kuharibika vibaya, lakini yeye yuko salama..." Ameandika katibu mkuu wa shirikisho la filamu Tanzania(TAFF) Bishop Hiluka

No comments:

Post a Comment