Pages

Sunday, November 23, 2014

Picha Za Kimahaba Za Diamond Na Zari The Boss Lady Zavuja Na Kusambaa Kwa Kasi.

Wanasema penzi ni kikohozi hakiwezi kuzuiliwa !....picha za kimahaba zaidi za Diamond na Zari The Boss Lady wa Uganda wakiwa kimahaba zaidi na kupigana denda zimeanza kusambaa kwa kasi.
Zari na Diamond walidai wapo kwenye project ya wimbo mpya lakini picha hizi wakidendeka wengi wametilia shaka kwa asilimia kubwa kuwa wana project yao ya siri na sio wimbo pekee.

Baadhi ya watu wandai labda picha ni edited but wengi wanakataa hasa kutokana na huko nyuma Diamond kuwahi kusema ana project na mastaa kadhaa na kuishia kutoka nao kimapenzi.

Wema juzi alisema Zari ni shoga'ke wa muda mrefu hawezi kutembea na Diamond.

wewe unaonaje?

No comments:

Post a Comment