Pages

Thursday, November 27, 2014

Photos: Irene Uwoya Amfuata Mumewe Ndikumana Nchini Rwanda !

Star wa filamu Tanzania Irene Uwoya ambaye ndoa yake na Ndikumana Katauti wa Rwanda iliingia katika gogoro zito na kila mtu kuishi peke yake wanataka kuishi tena pamoja !.....Picha mpya za Irene Uwoya akiwa na Ndikumana zimetoka.
Inadaiwa kuwa Uwoya alienda Rwanda kumtembelea Ndikumana ambaye wamezaa mtoto mmoja. Hizi picha zinaonyesha kama vile Uwoya alikuwa akiagwa na Ndiku kurudi Tanzania ingawa Uwoya anaonekana hana raha na sababu bado haijulikani.

Hata sintofahamu imeibuka baada ya msanii Jaguar wa Kenya kuonyesha nia ya kumuoa Uwoya na Uwoya mwenyewe kuonekana kulijua hilo, na sasa picha za Uwoya na mumewe huyo kuonekana wakiwa pamoja. watch this space for more...........


No comments:

Post a Comment