Pages

Sunday, November 9, 2014

Mwanamuziki Amigolaus Wa Twanga Pepeta Afariki Dunia.

Mwanamuziki wa Twanga Pepeta anayejulikana kama Amigolaus amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya taifa muhimbili. Marehemu alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya moyo.

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Ameen

No comments:

Post a Comment