Pages

Thursday, November 13, 2014

Jiamini Kwa Uzuri Wako Wa Asili Kujichubua Na Mkorogo Sio Ujanja: Shamsa Ford

Shamsa Ford
"Wanawake wenzangu tujifunze kujiamini na kujikubali.tujivunie uzuri wetu wa asilia wa kitanzania. mimi Shamsa urembo wangu ni wa mafuta ya nazi tena nayatengeneza mwenyewe coz sitaki kuharibu ngozi yangu ya kiasilia..kuanzia leo hii tujaribu kuwaelimisha rafiki zetu, ndugu zetu na watanzania kwa ujumla.SAY NO TO MKOROGO"
ameandika star huyo wa filamu ya Chausiku

Kujichubua imekuwa janga la wanawake wengi wa kiafika ikiwemo Tanzania wakidhani weupe ndiyo uzuri wakati wanaharibu ngozi zao na kuathirika taratibu kwa miaka mingi ikiwemo kupata kansa ya ngozi na ugumba. Tatizo la kujichubua limeanza kuwanyemelea hata baadhi ya wanaume kwa kuukana uafrika wao wa asili.

Say No tu Mkorogo

No comments:

Post a Comment