Pages

Wednesday, November 5, 2014

Jamani Bob Junior Ananipa Raha Kwa Kila Namna Sijawahi Kuona: Sabby Angel

Wawili wapendanapo dunia huwa maua !...........Muigizaji mwenye mvuto wa aina yake katika kiwanda cha filamu Tanzania Sabby Angel amesema kuwa Mahaba anayopewa na Bob Junior hajawahi kuyapata popote pale kwani anamridhisha kwa kila namna kiasi cha kufurahia maisha yake ya kimapenzi kwasasa, yaani full raha tupu!.
Sabby amesema kuwa ametembea huku na huko lakini kwa Bob Junior amenyoosha mikono juuu!

Wawili hao wiki ilopita waliongozana wote kwenda Tanga ambapo Bob Junior alikuwa na show huko.

                                                                   Sabby


No comments:

Post a Comment