Pages

Sunday, November 16, 2014

Flaviana Matata Avishwa Pete Ya Uchumba !

Flaviana Matata
Flaviana Matata ameposwa ?....hilo ni swali ambalo mashabiki wengi na wafuatilia habari za mastaa wanajiuliza baada ya Miss Universe Tanzania 2007 na mwanamitindo huyo wa kimataifa kuweka picha Instagram akiwa amevaa pete ya uchumba pasipo kuandika chochote katika picha hiyo hapo chini.

Ukiachilia mbali hilo miezi michache iliyopita kulisambaa habari na picha kuwa Flaviana aliposwa na kutolewa mahari lakini mwenyewe alikana tuhuma hizo na kusema aliyeposwa alikuwa ndugu yake na sio yeye. Is it true or false..!....watch this space for more

picha aliweka Flaviana akiwa amevaa pete ya uchumba.

No comments:

Post a Comment