Pages

Thursday, November 27, 2014

Diamond Platnumz Ndani Ya Jumba La Big Brother Africa 2014 Leo Hii.

Diamond Platnumz leo hii ataonekana katika jumba la Big Brother Africa nchini S.Africa na kuzungumza mawili matatu na washiriki wa shindano hilo mjengoni. Kupitia mitandao ya kijamii Platnumz ameandika ....


"Tafadhali usikose kuangalia Big Brother Afrika kuanzia saa tano Asubuhi kesho, kijana wako Platnumz ntakuwa ndani ya nyumba nikizoza mawili matatu na washiriki...."

Diamond tayari amekingia S.Africa kwa ajli ya tuzo za Channel O awards zinazotarajiwa kufanyika Jumamosi hii nchini humo huku akiwa nominated katika vipengele 4.

No comments:

Post a Comment