Diamond na Zari |
Habari zinadai kuwa wawili hao watavalishana pete ya uchumba mwezi ujao mwishoni siku ya event ya White Party inayoandaliwa na Zari kila mwaka. Party hiyo itafanyikia Uganada December 18 ambapo kwa mujibu wa Mitandao ya Uganda Diamond ilijulikana mapema ataalikwa hata kabla ya picha za kimahaba akiwa na Zari hazijasambaa ingawa wenyewe wamedai ni video ya wimbo wao mpya.
Gossip zaidi zinasema kuwa ndoa ya kifahari kati ya wawili hao itafanyika Tanzania na Uganda.
Hata kama ni love at first sight jamani hii sasa duh hata sio jamani
ReplyDeleteNamna hii mapenzi yatakosa thamani!
ReplyDelete