Pages

Sunday, October 26, 2014

Modest Bafite Na Patcho Mwamba Kuinua Wasanii Chipukizi Wa Filamu Nchini Congo.

Modest na Patcho
Wasaniii maarufu wa filamu nchini wenye asili ya Congo , Modest Bafite na Patcho Mwamba wanadaiwa kukutana kwa ajili ya kuzungumzia issue ya kuitangaza zaidi nchi yao kupitia sanaa ya filamu baada ya kukubalika hapa Tanzania na wameandaa ziara nchini Congo huku wakiwa na lengo la kuniua vipaji chipukizi nchini humo siku za hivi karibuni.
Alipoulziwa Modest alisema ni kweli walikutana kwa ajili ya kuzungumzia maendeleo yao katika sanaa kwani wanataka kufika mbali zaidi ya walipo sasa.

No comments:

Post a Comment