Happy |
Akizungumza na SWP Nyatawe alisema...........
"Nashangaa wanawake ambao mpaka karne hii wanategemea wanaume kwanini siku moja na wewe mpenzi wako au mumeo asifurahie msaada toka kwako wanawake tunaweza kataa u-golikipa na vikao vya umbeya mitaani, u-busy unaepusha mambo mengi sana mfano mimi mbali na biashara yangu muda mwingi napenda kupumzika nyumbani na kuangalia movie yaani kazi za wenzangu endapo itatokea msiba au sherehe hujumuika na wenzangu lakini naogopa sana kusutwa ndo maana sipend vigenge"
No comments:
Post a Comment