Pages

Monday, September 15, 2014

Photos: Riyama Ally Amuweka Wazi Baba Mtoto Wake.

Juzi ilikuwa birthday ya Riyama Ally pamoja na mwanae wa kike aitwaye Fatuma, Katika birthday hiyo Riyama alimuweka rasmi wazi baba wa mtoto wake anayeitwa Haggy(pichani) ambaye pia ni muigizaji wa filamu na tayari walishacheza pamoja filamu kadhaa.

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment