Pages

Friday, September 5, 2014

Mtunisy alivyotokelezea Katika Uzinduzi Wa Filamu Ya Mateso Ya Ughaibuni.

Mtunisy jana alitokelezea kama anavyoonekana hapo juu katika uzinduzi wa filamu ya mateso ya ughaibuni.
Kwa ujumla star huyo wa filamu nchini alipendeza kama kawaida yake.

1 comment:

  1. Baby wake Batuli Actress olalaaaaaa looking smart halafu muache kudanganya jamii kuwa mmeachana kumbukeni mkitoka sie mashabiki wenu tunawaona mnajificha kwenye magazeti ila ukweli mpo pamoja au hamjui kuwa hii ni dar es salaam hotels ni zilezile tunakutana ingawaje nyie hamjui ila sisi fans wenu tunawajua

    ReplyDelete