Pages

Friday, August 29, 2014

Mkurugenzi Wa Q-mobile Tanzania Akutana Na Reginald Mengi.

Mkurugenzi wa Qmobile ( www.m.Qmobile.co.tz ) Mr. Bill Ndilla akiwa na Mwenyekiti wa IPP Dr Reginald A. Mengi juzi katika hafla fupi ya kumkaribisha Msemaji wa Balozi wa Marekani. ambapo pia walizungumza mengi kuhusu kukuza vipaji hasa kwa vijana wanaojiajiri katika sekta ya teknolojia na mawasiliano

Qmobile ni huduma ya matangazo kwa wafanyabiashara na makampuni ya aina mbalimbali kujitangaza kwa wateja/walaji kwa bei nafuu kwa mtumiaji yeyote yule wa simu za kisasa kuona huduma zao na kununua. Jiunge nao sasa kutangaza na kukuza biashara yako sasa www.m.Qmobile.co.tz pia unaweza ku-download application yao katika site yao hiyo hapo juu na kuona hudama za makampuni ambayo tayari wanafanya nao kazi.

1 comment: