Pages

Friday, August 29, 2014

Kuanzia Sasa Sitaki Kuulizwa Kuhusu Habari Za Mtunisy: Batuli

Star wa filamu nchini Batuli Yobnesh Yusuph amesema kuwa kwasasa hataki kuulizwa kitu chochote kuhusu star mwenzake wa filamu nchini Mtunisy Nice Mohamed ambaye waliwahi kuwa wapenzi.
Hayo yamekuja baada ya miezi ya hivi karibuni media kuandika kuwa Batuli bado anamtaa Mtunisy huku Mtunisy tayari akiwa kwenye ndoa na mwanamke mwingine. Sasa akihojiwa na gazeti moja juzi Batyuli alisema amefunga pazia kuhusu kuulizwa habari za Mtunisy kwa madai ana mke wake tayari na yeye Batuli ana mtu wake kwasasa.
                                                         Mtunisy

No comments:

Post a Comment