Tuesday, August 19, 2014

Esha Buheti Alazwa Hospitalini Baada Ya Kuzidiwa.

Muigizaji wa filamu nchini Esha Buheti amelazwa hospitalini kutokana na kusumbuliwa na vidonda vya tumbo.
Kupitia mtandao mmoja wa kijamii muigizaji mwenzake Flora Mvungia amepost picha hiyo hapo Esha aliwa hospitalini na kusema anaumwa sana mashabiki wake wamuombee.

Get well soon Esha.........

No comments:

Post a Comment