Thursday, June 5, 2014

VJ Penny Alazwa Siku Tatu Mfululizo Kutokana Na Asthma.

Vj Penny
Mtangazaji wa TV na aliyekuwa mpenzi wa Diamond, Peniel Mungilwa "Vj Penny" amelazwa kwa siku tatu mfululizo kutokana na ugonjwa wa pumu(Asthma) kiasi cha kuwekewa mashine maalum ya kumsaidia kupumua. Penny mwenyewe ame-share hii picha akiwa hospitalini. Get well soon Vj Penny

Vj Penny

ike our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.


No comments:

Post a Comment