Nimechoka ni wimbo mpya toka kwa mwanamuziki chipikizi V'ee Jay ambaye anaishi nchini Marekani. Video ya wimbo huo inatarajiwa kufanyika June 21 mwezi huu. Sikiliza wimbo huo katika link hii hapa Nimechoka By V'ee Jay
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.
No comments:
Post a Comment