Pages

Thursday, June 12, 2014

Sina Kinyongo Chochote Na Kajala: Wema Sepetu

Wema
Wema Sepetu ameamua kuweka wazi kuwa hana kinyongo na Kajala ambaye walikuwa mashostito wakubwa kabla ya urafiki wao kuingia doa. Hata hivyo hivi juzi ilidaiwa kuwa wawili hao walisuluhishwa katika msiba wa George Tyson na kumaliza tofauti zao. Kupitia Instagram Wema ambaye kwasasa yupo karibu zaidi na Aunty Ezekiel ameandika maneno hayo hapo chini....

"Good morning instagramers.... Hope you all well... If y'all must know mimi ni mtu ambaye huwa nasomaga sana comments.... Na kama nimekosa kusoma comment yako ujue ni kwamba zinakuwa nyingi mno na nashindwa soma zote.... Ni kwa muda mrefu sana mnaniona nakaa tu kimya na sisemi chochote khs my friendship life... But mimi binafsi na muhusika ndo tunajua... saa nyingine mnaongea hadi nakereka but nakaa kimya... Nilitaka tu kusema mimi sina kinyongo na mtu... na kama kuisha mbona yalishaisha...Au ndo mlikuwa mnataka kuona bega kwa bega...? In my life siwekagi vinyongo... nyi wenyewe mnajua... So jus so u want to know hayo yalishapita na maisha yanaendelea... ni hayo tu... Have a good day everebadi...��������..."
Wema na Aunty Ezekiel
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment