Pages

Friday, June 13, 2014

Nay Wa Mitego Aonyesha Mjengo Wake Mpya Gharama Takribani Mil.200

Star wa Bongofleva nchini Nay Wa Mitego ameonyesha mjengo wake mpya likiwemo gari jipya pia. Mjengo huo inakadiriwa unathamani takribani milioni 200 za kitanzania
Image credit:Bongo5
image credit:Bongo5
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment