Pages

Monday, June 9, 2014

Mzee Small Kuzikwa Leo Saa Kumi Alasiri Katika Makaburi Ya Tabata.

Mzee Small enzi za uhai wake
Muigizaji mkongwe nchini Tanzania Mzee Small aliyefariki juzi usiku katika hospitali ya taifa Muhimbili atazikwa leo saa kumi katika makaburi ya Tabata. Muigizaji huyo alitoa mchango mkubwa kwenye sanaa ya uigizaji nchini kwasababu hata mastaa wa leo hawawezi kuupuzia juhudi zake katika kuifanya sanaa ya uigizaji ikubalike nchini. Mungu ailaze roho yake mahali pema peoni. Ameenn

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment