Pages

Wednesday, June 11, 2014

Modest Bafite Anusurika Katika Ajali Ya Lori

Modest baada ya kupata ajali
Muigizaji wa filamu nchini Modest Bafite amenuurika katika ajali leo wakati akielekea location maeneo ya Kimara jijini Dar es salaam. Akizungumza na SWP Bafite alisema
"Nimepata ajali mbaya ya pikipiki maeneo ya Kimara Mwisho huku nikielekea location, kutoka na Ajali hii the Way lori lilivyo nisukuma kwenye mtaro, saa hizi ningekuwa ni marehemu, ila namshukuru Mungu kwa sababu sijaumia sana japokuwa pikipiki imeharibika sana, Bado Mungu anahitaji niendelee kuinua vipaji kwenye Sanaa, Nimepata Uhakika kuwa Mungu anakubali mchango wangu kwenye tasnia hii ya filamu, Mungu yupo nami mwanadamu hana nafasi kwangu" alisema msanii huyo
Alipata majeraha madogo madogo
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment