Baada ya kushindwa kupata tuzo jana katika MTV Africa Music Awards 2014 kwenye vipengele vya best male artist na best collabo ofvthe year, superstar wa Tanzania Diamond Platnumz ameonekana kutokukata tamaa na kusema kuwa huo ni kama mwanzo wa kujifunza zaidi ili kufanya vizuri zaidi kwenye tuzo zijazo. Kupitia Instagram Diamond ambaye imeipa sifa Tanzania hata bila ya kushinda ameandika ......
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.
No comments:
Post a Comment