Saturday, June 7, 2014

Breaking News: Muigizaji Mkongwe Nchini Mzee Small Afariki Dunia.

Mzee Small
Said Ngamba "Mzee Small" amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupatwa na pressure na kukimbizwa hospitali ya taifa Muhimbili. Muigizaji huyo mkongwe kabla ya kifo chake aliugua kwa muda mrefu pia. Mzee Small ni mmoja wa wasanii wa mwazo katika sanaa ya maigizo nchini kwenye enzi zake akiwa ametamba na wasanii wenzake wakongwe kama vile Bi.Chau na King Majuto, ni mmoja wa wasanii ambao mchango wake katika sanaa ya maigizo na tasnia ya filamu nchini hauwezi kusahaulika. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Ameen


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment