|
Nisha |
Salma Jabu Nisha ambaye ametokea kujipatia umaarufu katika tasnia ya filamu za kiswahili ameanza diet maalum ili kupungua uzito. Akichonga live na
Swahiliworldplanet juzi star huyo alisema kuwa ameamua kupungua kwakuwa ameongezeka sana hivyo anataka kuwa na mwili wa kawaida ambao utamfanya awe mwepesi. Nisha anatumia diet maalum ya vyakula katika harakati zake hizo za kupunguza uzito na aliongeza pia kuwa anataka kuanza mazoezi pia ili kufanya healthy diet.
Vile vile filamu mpya ya Nisha inayoitwa ZENA NA BETINA itaingia sokoni tarehe 29 mwezi huu.
No comments:
Post a Comment