Pages

Thursday, April 24, 2014

Irene Uwoya Atisha Kwa Utajiri, Filamu Zamnufaisha

Irene Uwoya
Star mkubwa wa filamu Swahiliwood Irene Uwoya anadaiwa kuwa na utajiri wa maana kwasasa huku filamu zikiwa chanzo cha utajiri wake huo ingawa Uwoya mwenyewe alisema zipo fursa nyingine zilizompa pesa kutokana na umaarufu wa jina lake. Kwa mujibu wa Bongomovies Uwoya anayedaiwa kuwa na magari ya kifahari zaidi ya matatu alisema ".Alisema kuwa pamoja na magari anayomiliki ya kifahari hawezi sema ni njia gani amepata utajiri huo..Nimefanya Filamu kadhaa ambazo zimenipa hela na cha zaidi ni Jina ambalo limenifanya kupata Deals zingine zinazonipa Pesa..Jina langu ni Kubwa so lazima liendane na mali ninazopata"


Uwoya ni mmoja wa mastaa wa filamu nchini wa daraja A huku akiwa busy na shooting za filamu kila wiki huku akidaiwa kuwa na mali nyingine kadhaa ukiachilia mabali magari ya kifahari anayomiliki.

Ni jambo zuri kuona wasanii wetu wanazidi kuinuka kiuchumi

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx


Filamu kali ya SIO SAWA inaingia sokoni tarehe 24 April 2014 hakikisha unanunua nakala yako halisi.
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and 

1 comment:

  1. Mwanamke muongo wewe sipati picha lile benzi ulilotangaza lako watu wakakusifia ni la mwenye Katalunya bar na alishakunyanga'nya kitambo lipo kwake bahari beach analiendesha super star mkareeeee zaidi yako halafu acha kudanganya watu mwenye hayo ni Ababuu unajinadi nimekushangaa sana uwoya umekwisha

    ReplyDelete