Friday, April 4, 2014

Irene Paul, King Majuto Na Gabo Ndani Ya Filamu Ya "Mama Ntilie"

Irene Paul
King Mjuto, Irene Paul na Salim Ahmed(Gabo) wanatarajiwa kuonekana pamoja katika filamu mpya inayoitwa Mama Ntilie. Filamu hiyo imetayarishwa na Irene Paul tayari ikiwa imeshamalizika shooting na muda si mrefu itaingia sokoni kutokana na waandaji kuwa katika hatu za mwisho za filamu hiyo.



Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment