Filamu Ya Jicho Langu Toka Kwa Odama Yaingia Kwa Kishindo Sokoni Leo Hii.
Ile filamu ya Jicho Langu iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa tayari imeingia sokoni leo hii tarehe 3 mwezi wa nne, Hakikisha unanunua nakala yako halisi ya filamu hiyo kali.
Jicho langu yenye story ya kusisimua imetengenezwa na kampuni ya J-Film 4 Life chini ya Odama huku ikisambazwa na Steps Entertainment Tanzania. Mastaa ndani ya filamu hiyo ni Odama, Salim Ahmed(Gabo), Thadeo Alexander na Grace Mapunda.
No comments:
Post a Comment