Pages

Sunday, April 6, 2014

Categories Za Action & Cut Viewers Choice Awards 2014 Zaongezwa, Piga Kura Hapa.

Tuzo za filamu za Action & Cut Viewers Choice Awards(ACVCA) zilizoandaliwa na Bond Bin Sinan kwa mara ya kwanza zinatarajiwa kufanyika mwaka huu kwa wasanii mbalimbali kupewa tuzo hizo baada ya kupigiwa kura na mashabiki. Pia waandaaji wameongeza categories za Msambazaji bora wa filamu, Mwandishi bora wa filamu, filamu bora ya maadili na Filamu Ya Kutangaza Tanzania vipengele ambavyo mwanzoni havikuwepo. Ili kumpigia kura nominee andika jina la category halafu jina la nominee kisha tuma kwenda namba 15573. Mfano.............

nominees

BEST ACTOR
Jacob Stephen ( SHIKAMOO MZEE)
Mohammed Mwikongi ( WAITING SOUL ) 
Simon Mwampagata Radio ( MAHABA NIUWE) 
Hemed Suleiman ( STELLA ) 
Steve Mengere Nyerere ( GET OUT )
Salim Mohammed Gabo ( BADO NATAFUTA)

 BEST ACTRESS
 Rose Ndauka ( WAITING SOUL)
 Irene Paul ( LOVE & POWER)
 Wastara Juma ( Mr & Mrs SAJUKI)
 Irene Uwoya ( QUESTIONS MARK)
 Elizabeth Michael Lulu ( FOOLISH AGE)
 Jacline Wolper ( MAHABA NIUWE).

 BEST UPCOMING ACTOR.
 Rammy Valid ( FAN'S DEATH)
 Mohammed Mussa ( MBEGU) 
Gerry Wa Rhymes ( STELLA)

 BEST UPCOMING ACTRESS.
 Wellu Sengu ( MATILDA)
 Janeth Lameck ( BIKIRA KIDAWA)
 Najma Dattan ( FAN'S DEATH)

 BEST DIRECTOR
 Vincent Kigosi (TWISTED)
 Issa Mussa Cloud (SHAHADA)
 John Lister (PUMBA)
 Jackson Kabirigi ( NGUVU YA IMANI) 
Lamata ( Mr & Mrs SAJUKI) 
Kulwa Kikumba Dude ( MELVIN)

 BEST FILM
 Twisted ( RJ FILM COMPANY)
 Nguvu ya Imani ( )
 Shikamoo Mzee ( JERUSALEM FILM COMPANY)
 Tikisa (NISHA'S FILM COMPANY)
 Mr & Mrs Sajuki (WAJEY FILM COMPANY)
 BEST D.O.P Kabuti Onyango (TIKISA)
 Farid Uwezo (TWISTED) 
Hassan Maimbari (Mr & Mrs SAJUKI)
 Rashid Mrutu ( APLE) 
Timothy Conrald ( NGUVU YA IMANI)

 BEST EDITOR
 Mandela ( TWISTED )
 Timmoth Conrald ( NGUVU YA IMANI)
 Hassan Maimbari (Mr & Mrs SAJUKI)
 Zakayo Magulu ( LOVE & POWER)
 Rashid Mrutu (APLE)

 BEST COMEDIAN
 Amri Athuman King Majuto ( SHIKAMOO MZEE)
 Haji Salum Mboto ( NYOTA YANGU ) 
Kitale ( MORE THAN A LIAR)
 Mahsein Awadh Dr. Chen ( MAJANGA)

 BEST ACTION MOVIE
 C.I.D 
 Bongo Mafia 
Double J Final
 Damu Nzito
 Step by Step

BEST SCREENPLAY
 Ally Yakuti (LOVE & POWER )
 Issa Mussa Cloud ( SHAHADA)
 Hisan Muya ( HATIA)
 Mathew Mtenda ( JESHI LA MTU MMOJA)
 Daniel Manege ( UKURASA MPYA) 
Single Mtambalike (SAFARI)

 FILAMU BORA YA MAADILI
 Shahada
 God's Kingdom
 Nafsi Lawama
 Nguvu ya Imani
 Eda 

FILAMU BORA YA KUITANGAZA TANZANIA
 Safari
 Gawa 
Kozopata
 Sitaki Kuolewa 
Utandu

 BEST DISTRIBUTOR
 Splash
 Leo Media
 PiliPili Entertainment
 Proin Promotions
 Steps Entertainments
 Papa Zii 




Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment