Muigizaji wa filamu nchini Yuster Nyakachaka anaonekana kutibuliwa na haters ambao daima hawaoni mazuri ya mtu ila mabaya pekee. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Yuster ameamua kuwapa live wabaya wake kwa kuandika..........
"Binadamu
kiumbe mzito sana huna jema utakalomtendea akashukuru kwa moyo wake na
unapomsaidia huwa anahisi ni jukumu lako kumsaidia.cha ajabu basi hata
kwa wema wako atakupaka matope ionekane kama unajishaua na kutaka
uonekane mwema au una uwezo kumzidi kumbe uliyafanya mengi kwa upendo wako tu ulionao...nimeamini si kila akuonyeshae MENO anatabasamu.wengine
wameumbwa hivyo.usinitangaze kwa mabaya tu mazuri yangu yaseme"
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pagesSwahili World Planet andBongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment