Pages

Wednesday, March 5, 2014

Sipendi Kutumia Kinga Niwapo Sita Kwa Sita kwasababu Nakosa Stimu: Linah Sanga

Linah Sanga
Star wa Bongofleva nchini Linah Sanga amekuja na mpya kwa kusema kuwa awapo kunako sita kwa sita na mwanaume huwa hapendi kutumia kinga iwe ya kiume au ya kike kwa madai condom zinamkatisha stimu. Akichonga na Globalpublishers Linah alisema "Sema naogopa ukimwi na magonjwa mengine ndiyo maana nalazimika kutumia kwa ajili ya afya yangu lakini kiukweli kabisa, sipendi kabisa kinga"

Hivi karibuni Linah alidaiwa kupachikwa mimba na jamaa wa kihindi na baadaye mimba hiyo kuchoropoka.

                                                                 Linah
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment