Pages

Tuesday, March 18, 2014

Shilole Kufungua Mgahawa Utakaoitwa Chuna Buzi Cafe

Shilole
Star wa filamu na muziki nchini Shilole anatarajia kufungua mgahawa wake wa chakula utakaoitwa "Chuna Buzi Cafe" ambao utakuwa maeneo ya Mwananyamala. Chuna buzi ni jina la wimbo wa Shilole. Star huyo mwenye makeke mengi aliyasema hayo wakati akizungumza Radio Clouds fm.

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment