Pages

Saturday, March 15, 2014

Sabby Angel Na Collo Wa Nchini Kenya Kuja Na Wimbo Mpya Pamoja.

Sabby Angel
Muigizaji wa filamu Swahiliwood Salma Tamim(Sabby Angel) ambaye pia ni mwanamuziki wa kizazi kipya yupo kwenye mishemishe za kufanya collabo na mwanamuziki Collo kutoka nchini Kenya. Habari zisizo na shaka ambazo Swahiliworldplanet ni kuwa kwasasa Sabby na Collo wapo kwenye hatua za kufanya wimbo huo wa pamoja. Sabby alianza kuimba hata kbala ya kuanza kucheza filamu na kwa mujibu wake mwenyewe ni kuwa anataka kutikisa katika muziki na filamu kwa wakati mmoja huku akiwa tayari ameanza kukubalika katika filamu kwa kuigiza na mastaa wakubwa.
                                                      Sabby akiwa na Collo
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment