Pages

Monday, March 10, 2014

Sabby Angel Aalikwa Kama Mgeni Rasmi Wa Show Ya Churchil Live Nchini Kenya.

Actress na Mwanamuziki chipukizi wa Tanzania Salma Tamim(Sabby Angel) anazidi kupata umaarufu zaidi kila kukicha na kukubalika. Wikiend iliyopita star huyo wa filamu ya Hard Price alialikwa kama mgeni rasmi katika show maarufu nchini Kenya ya Churchil Live, Picha hapo chini ni Sabby akiwa katika show hiyo mstari wa mbele kabisa kama mgeni rasmi. Ukiachilia mbali hilo Sabby tayari ameanza kufuatiliwa na media za kenya huku akifanyiwa interviews kadhaa.

Sabby Akiwa katika Churchil Live

                                                             Sabby Angel
Ahsante sana Kenya kwa kukubali mastaa wetu wa Tanzania.


Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment