Pages

Tuesday, March 4, 2014

Ray C Afunguka Baada ya Aliyekuwa Mpenzi Wake Lord Eyez Kukamatwa Kwa Wizi Wa Laptop Huko Arusha.

Ray C
Baada ya juzi kati mwanamuziki Lord Eyez kukamatwa na polisi kwa wizi wa Laptop huko Arusha aliyewahi kuwa mpenzi wake ambaye pia ni mwanamuziki wa Bongofleva Ray C amefunguka kwa kumpa ushauri kuhusu kujitazama upya na mustakabali mzima wa maisha yake kwani anajishusha mbele za jamii. Mwaishoni mwa mwaka juzi Lord Eyez pia alikamatwa na polisi kwa madai ya wizi wa power window ya gari la Mwanamuziki Ommy Dimpoz ingawa baadaye ilidaiwa Ommy Dimpoz alimsamehe. Ray C ambaye mwaka jana alikuwa katika matibabu ya kuachana na madawa ya kulevya na sasa amepona ameandika maneno hayo hapo chini kwa Lord Eyez.....



Ray C na Lord Eyez enzi za penzi lao
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment