Pages

Monday, March 17, 2014

Picha Za Irene Uwoya, Diamond, Johari Na Ray Zapamba Restaurant Nchini China.

Picha za mastaa wa filamu na muziki nchini Tanzania zimetumika kama mapambo katika restaurant moja nchini China. Kwa mujibu wa chanzo makini kikichonga na Swahiliworldplanet restaurant hiyo inaitwa Medina na haijajulikana kama inamilikiwa na mtanzania au lah, huku picha za Irene Uwoya, Diamond Platinumz, Johari na Vicent Kigosi "Ray" zikitumika kupamba kuta za restaurant hiyo. Angalia picha hizo hapo chini......

Picha hii ya Johari na Ray inasemekana ilipigwa miaka kadhaa nyuma wakati wakiigiza filamu ya Revenge na ipo katika Restaurant ya Medina nchini China.



Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment