Hao hapo chini ni watoto wa mastaa wakubwa wa filamu nchini yaani Lucy Komba, Yobnesh Yusuph"Batuli" na Irene Uwoya. Watoto hao wote ni wa kiume na wanatabiriwa kurithi vipaji vya wazazi wao. Wewe waangalie na unadhani nani atafuata nyayo za mama yake katika filamu?
Krish ambaye ni mtoto wa Irene Uwoya akiwa katika swaga za ki-brazamen
Stromson ambaye ni mtoto wa Lucy Komba akiwa katika pozi la kishule shule
Batuli akiwa na mwanae wa kiume
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
that fine
ReplyDeleteKrish mtoto wa Irene
ReplyDelete