Pages

Friday, March 14, 2014

Photos: Johari, Mainda, Slim Omar, Thadeo Alexander Waigiza Pamoja Katika Filamu Ya Denti.

Mastaa wa filamu nchini Mainda, Johar, Slim Omar na Thadeo Alexander wanatarajiwa kuonekana pamoja katika filamu mpya inayoitwa Denti. Filamu hiyo imetengenezwa na Luck na muongozaji ni Leah Mwendamseke "Lamata", wasanii hao tayari wamemaliza kushuti filamu hiyo wiki iliyopita. Angalia baadhi ya picha wakiwa location............

Mainda na Thadeo Alexander


Thadeo akiwa na Lamata na msanii mwenzao

                                                           Johari na Thadeo
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment